[ad id=”72″]

Waziri wa uhusiano na mataifa wa Ubelgiji  Didier Reynders, amesema kuwa anaumizwa sana na kifo cha waziri Niyonkuru, aliyepigwa lisasi usiku wa tarehe 1 January 2017.

Kupitia Twitter yake, waziri Didier Reynders eti “ nazarau shambulio lililomfanyiwa waziri Niyonkuru, nawatakia amani na umoja katika nchi ”.

belgiqu

[ad id=”72″]

Amesema hayo, ila kwa siku chache nenda serikali ya Burundi ilisema kwamba yote yanayofanyika Burundi si uongozi mbaya ila ni yale walio yawachiwa na historia  waliopitia kwa miaka kazaa.

Burundi huendelea na kushota kidole Ubelgiji na kusema kwamba ndio chanzo cha matatizo wanayo yaishi, uhusiano wa nchi zote mbili ni mbaya tangu rais Nkurunziza kuwania mhula wa tatu tangu mwaka wa 2015.

Waziri Emmanuel Niyonkuru alipigwa lisasi Bujumbura akiwa pamoja na mke wake, ila yeye kaokoka na alitiwa mbaroni ili kufanya upelelezi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina