Swahili
Home » Ubelgiji walaani hawakulenga kusema “ Walioshambulia nchini Rwanda walitoka Burundi”
HABARI MPYA

Ubelgiji walaani hawakulenga kusema “ Walioshambulia nchini Rwanda walitoka Burundi”

Wanamgambo wa FLN waliojigamba kushambulia na kuwaua watu wawili na kujeruhi wengine nane/ picha: Mitandao ya Kijamii

Wizara ya Mambo ya Nje nchini Ubelgiji imeweka  wazi haikulenga kusema kamba walioshambulia Wilayani Nyaruguru nchini Rwanda walitoka Burundi .

Haya madai yalifanya Burundi kulalamika kisha Ubelgiji ukabadili baadhi ya maneno yaliyotumiwa.

Maelezo ya Msemaji wa hii wizara, Mathieu Branders ni kwamba walichokifanya kupitia tangazo walilotoa ni kuonya Wabelgiji wanaotembelea nchini Rwanda.

“ Hili ni jambo la kawaida kuwaonya Wabelgiji wanaotembea nchini Rwanda na kwa nchi nyingine. Fikra hizo  zinabadilika” Mathieu ametangazia Jaune Afrique.

Ushirikiano kati ya Rwanda na Burundi ulianza kuwa mkia wa mbuzi tangu mwaka 2015 wakati wa vurugu za kisiasa.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com