Home HABARI MPYA Twagiramungu aliyetumwa Rwanda yatuhumiwa kuunga mkono katika mauaji ya Tutsi maelfu 100
HABARI MPYA - SHERIA - August 22, 2017

Twagiramungu aliyetumwa Rwanda yatuhumiwa kuunga mkono katika mauaji ya Tutsi maelfu 100

Tume ya nchi ya kupampana na mauaji ya kimbali (CNLG)imetangaza kuwa ilikusanya habari kutoka maghali mbalimbali ya mkoa wa kusini kwamba Jean Twagiramungu alitoa mchango katika mauaji ya Tutsi elfu 100,000

Jean Twagiramungu(wakati) akiwa mikononi mwa polisi wa Rwanda

Kwa kutumia tangazo linalohusu watangazaji,CNLG wametangaza kuwa Twagiramungu aliunga mkono uandaji wa mauaji ya kimbali wa wilaya za awali mbalimbali zikiwemo Karambo,Rukondo,Karama,Kinyamakara,Nyamagabe na Musange hasa viongozi makamu wa mikoa,Joachim Hategekimana(Kaduha) na Joseph Ntegeyintwali(Karaba).

Tangazo hili linaongeza kuwa Twagiramungu na baba yake walishiriki katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi 10,000 waliokimbilia kwenye parokia ya Mbazi,Kirambi na ya ADEPR Maheresho na kutupa miwili yao mitoni Rukarara na Mwogo.Pia inadaiwa kuwa alikuwemo mwa walioua Tutsi  45,000 kwenye parokia ya Kaduha na 35,000  kwenye parokia ya Cyanika.

Twagiramungu alikamatwa mjini Frankfurt nchini Ujerumani  na kutumwa nchini Rwanda tarehe 18 mwezi Agosti 2017 kulingana na mkataba wa mwaka 1948 unayohusu kupamabana na mauaji ya kimbali.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.