kwamamaza 7

Tuwe na uzoefu wa mila ya kazi ya umma kwa matukio ya mapato-Rais Kagame

0

Alitangaza hayo wakati alipo kuwa pamoja na wakaaji wa wilaya ya Gatsibo wakifanya kazi ya umma kwa pamoja leo tarehe 25 Februari 2017.

Rais Kagame amesema ya kuwa leo wameshiriakiana kwa kitendo cha kujenga shule ili watoto wawe wakisomea karibu bila kwenda kutafuta elimu mbali na katika shule hilo kutatiwa hata mambo ya teknolojia.

Rais alikuwa pamoja na mke wake, Bi Jeannette Kagame, wali wasiliana na wakaaji wa kata ya Simbwa kwa kujenga darasa za shule la msingi litakalo kuwa na uwezo wa kuwapokea watoto 300 wa sehemu hio. Aliendelea na kusema ya kuwa katika malezi ndipo watoto wanafundishwa tabia ya kutumika na kupenda kazi.

Alisema tena ya kuwa tatizo la kuwasiliana ambalo halifike sehemu hio haraka litatatuliwa, aliwaomba kuendelea na kufanya kazi ya umma kwa pamoja ili watokeo yaongezeke kwa kuwalisha raia na kufaidika.

anasta

Sehemu nyingine ya wilaya hio ya Gatsibo kuna viongozi ambao walienda kwenye kikao cha 14 cha viongozi wakuu wan chi, walishiriki kazi ya umma pamoja na raia wa kata ya Kabarore, hapo waziri mkuu Anastase Murekezi alitoa ujumbe kutoka kwa Rais wa Jamhuri wa kuwashukuru kwa ajili ya maendeleo yao katikka nchi.

Waziri mkuu aliwashukuru wakaaji wa Kabarore kwa ajili ya barabara wenyewe walifanya upatao meta 500, aliwaomba kufanya sana kazi kwa ajili ya maendeleo na kujiandaa vena huu wakati wa ukulima.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.