Swahili
Home » Tutaweka hadharani hati zenye vitendo vya Mitterand nchini Rwanda baada ya miaka minne-Mahakama ya kulinda katiba
HABARI MPYA SIASA

Tutaweka hadharani hati zenye vitendo vya Mitterand nchini Rwanda baada ya miaka minne-Mahakama ya kulinda katiba

Mahakama ya kulinda katiba na sheria nyingine nchini Ufaransa imeunga mkono uamuzi wa serikali wa kutotia hadharani hati zenye vitendo vya Rais Mitterand nchini Rwanda wakati wa mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa mujibu wa taarifa za BBC,mahakama hii imeamua kwamba yaliyomo mwa hati hizi yatajulikana baada ya miaka 25 ya kifo cha Rais Francois Mitterand kulingana na sheria husika na ulinzi wa hati za marais wa Ufaransa.

Kwa hiyo,hati hizi zitatiwa hadharani baada ya miaka minne yaani 2021 kwa kuwa Mitterand aliaga dunia tarehe 8 Januari mwaka 1966.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya kupiga marufuku ombi la mtafiti, Francois Graner aliyekuwa akitaka kujua sababu gani Dominique Bertinotti alikana kuweka hadharani hati hizi kujibiwa kwamba yeye hana rukhusa ya upatikanaji wake kwa kuwa ombi lake ni kunyume na haki za kujieleza.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com