kwamamaza 7

Tunazidi HRW kutetea haki za binadamu-Rais Kagame

0

Rais Kagame ametangaza kuwa Rwanda inazidi shilika la kuteteta hali za binadamu,HRW na kumuambia kiongozi wa shilika hili kuwa anachokifanya ni kupaka masizi  Rwanda.

Rais Kagame amekumbusha HRW kuwa yeye anamiliki nafasi ya kutetea haki za binadamu kuzidi kiongozi wa HRW,Kenneth Roth kwa kuwa alijitoa mhanga kwa kutetea haki za Wanyarwanda.

Rais Kagame ameongeza kuwa inajulikana namna ambavyo masshilika ya kimataifa yalirudisha wanajeshi wake wakati amabapo watu wanauawa ila yeye na wengine walikuwa wanapambana katika vita vya kuokoa Wanyarwanda na kuwa yeye haoni haki za binadamu wanazosema.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame amesema haya baada ya ripoti mbili za HRW kwa Rwanda zikiwemo ripoti iliyokuwa ikisema kuwa wanausalama wa Rwanda wakiwemo Polisi,wanajeshi na DASSO na wanaupelelezi huwatesa kimwili wafungwa kutoka RNC na nyingine iliyokuwa ikieleza kuwa yeyote anayetuhumiwa wizi anauawa kwa jina’The thieve must be killed” yaani kila mwizi anapaswa kuuawa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mala nyingi serikali ya Rwanda ilikana ripoti nyingi za HRW kwa kusema kwamba shilika hili huwa linadhamiria kupaka masizi hadi wabunge walivyopendekeza kukomesha ushilikiano na shilika hili siku zilizopita.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.