kwamamaza 7

Tunawajua wanasafirisha dawa za kulevya ndani ya sehemu nyeti- SP Gatabazi

0

Polisi Wilayani Karongi imesema inajua ujanja wote unaotumiwa kusafirisha dawa za kulevya hata na ule wa kutumia sehemu nyeti.

“ Wanatumia ujanja sana kama vile kubeba mgongoni kama watoto, jambo ambalo linahuzunisha. Ujanja wote tunaujua hata na wale wanaotumia sehemu nyeti zao.’ SP Gatabazi, Kiongozi wa Polisi Wilayani amesema

Kwa hiyo, ameongeza, bei ya bangi imefika Frw 400 kwa sehemu ndogo kutoka Frw100  zilizopita.

Amehamasisha wakazi kutoa taarifa kwa wauzaji wa dawa za kulevya ili kupambana na suala hilo.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.