Swahili
Home » Tume ya Uchaguzi yaeleza mambo ambayo mpiga kura anapaswa kuyajua
SIASA

Tume ya Uchaguzi yaeleza mambo ambayo mpiga kura anapaswa kuyajua

Ikiwa wanyarwanda wanajiandaa kumchagua rais atakaye waongoza katatika muhula wa miaka saaba baadaye. Tume ya uchaguzi yafafanua mambo muhimu ambayo kila mpiga kura anapaswa kuyajua. Maswali hapa ambayo mgombea anapaswa kuyaelewa kabla ya siku ya kupiga kura na baadaye kama katibu mtendaji wa Tume ya Uchaguzi alivyitangazia the New Times.

Kituo cha Uchaguzi cha karibu kiko wapi?

Asilimia 96 ya vituo vya Uchaguzi yaijabadilika toka miaka na miaka. Jua ya kwamba kituo cha Uchaguzi kinaweza kuwa hakijabadilika.

Ikiwa wewe ni mkazi wa eneo mpya unaweza basi ukatumia fursa ya kesho kwenye siku ya “Umuganda” kwani shughuli zitafanyiwa hapo.

Natakiwa kuwa na kadi ya uchaguzi ili niweze kupiga kura?

Hapa ni ndiyo na si ndiyo. Ikiwa una kadi hii ni bora kwako lakini siyo kusema kwamba ikiwa hauna basi umepoteza fursa yako. Ikiwa una kitambulisho(ID card) na umejisajili kwenye daftari ya kura una haki ya kupiga kura.

Ifahamike kwama ni hili ni maalum kwa wanahabari na askari wa usalama hawa wanaweza kupigia kura popote ilhali wana kadi zao za kazi.

Inakuwaje napofika kwenye kituo cha uchaguzi

Jambo linalochunguzwa pekee ni kuona ikiwa una kitambulisho, kadi ya uchaguzi na ikiwa umesajiliwa kwenye daftari ya kura halafu ukaingia na kupiga kura.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Itakuwaje ikiwa nalifanya kosa kwenye karatasi yangu ya kura?nitapewa fursa nyingine?

Tunawahimiza watu kuchukuwa muda wao na kufikiria juu ya hili kwa kuwa ikiwa kunafanywa kosa basi mambo yamekwisha hatuwezi kuwa na karatasi nyingi.

Ni muda gani kura inachukuliwa kuwa batili?

Kuna mambo mengi yanayofanya kusema kwamba kura iko batili. Kwa mfano ikiwa unaweka kisandukuni daftari iliyowazi ama kuandika mambo mengine yasiyohusiana badala ya kupiga kidole-gumba. Vile vile kupiga kura kwa wagombea zaidi ya moja hayo yote yatabatilisha kura yako.

Vituo vya kura vinafunguliwa na kufunga saa ngapi

Vituo vya kura vitakuwa wazi toka saa 7 za asubuhi hadi 3 za jioni

Naweza kupeleka mtu mwingine kunipigia kura?

Siyo hata kidogo haki ya kupiga kura ni haki ambayo fulani ataitekeleza pekee yake

Naweza kupiga kura ikiwa nina ulemavu

Ndiyo ni kweli, unanapaswa kuwa umesajiliwa tu, na tumeziweka taratibu za kuwarahisha wanaoishi na ulemavu kama karatasi za kwa ajili ya watu vipofu

Nani asiyeweza kupiga kura?

Huwezi kupiga kura ikiwa hauko mwenye umri wa miaka 18.

Ikiwa haujasajiliwa.

Ikiwa hauko raia wa Rwanda

Ikiwa uko mkimbizi

Ikiwa umefungiwa gerezani

Ikiwa umepatikana na kosa la jinai mahakamani na umekataliwa haki ya kupiga kura

Ikiwa umepatika na uhalifu wa mauaji ya kimbari na hujamaliza adhabu yako.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Naweza kuzungumza kuhusi kura yangu kwenye kituo cha uchaguzi?

Hairuhusiwi kamwe ndiyo sababu hii inachukuliwa kama kura ya faragha

Niko Muislam na navaa hijab, kuna kanuni za kuvaa kwenye kituo cha uchaguzi?

Hakuna kanuni zozote za kuvaa nikiwa kituo cha uchaguzi inafaa niwe nikivaa mavazi ya kukidhi

Naweza kujipiga picha nikiwa napiga kura?

Hawuruhusiwi kujipiga kura ila unaruhusiwa kuingia chumba cha kura na simu yako. Hauruhusiwi vile vile kuingia ukiwa mtu mwingine wala ukiwa na bunduki.

nani anayeruhusiwa kubakia kwenye kituo cha kura?

Waangalizi wa uchaguzi waliojisajili na wasimamizi wa wagombea wao wanaruhusiwa kubakia kwenye kituo cha kura. Watu wengine wanapaswa kuenda mara baada ya kupiga kura labda kurudi baadaye kura zikiwa zinahesabiwa.

Kura zinahesabiwa kwa namna gani?

Kura zinahesabiwa hadharani na zitaanza saa 3 za jioni

Naweza kupata matokeo ya kura wakati gani?

Kwa siku ya uchaguzi tutangaza asilimia 80 za jumla ya kura. Inamaana kwamba watu waenda kulala wakiwa wanamjua nani anayeongoza kwa kura ila matokeo kamili yatatangazwa siku chache baadaye.

Ikiwa nina swala lolote la zaidi, nani wakumuuliza?

Kuna wafanyakazi wa uchaguzi wa kijitolea katika kila kijiji na wanaweza kukuelezea kila kitu. Na ikiwa una swala lolote na unakaa karibu ya kituo cha uchaguzi chochote unaweza kuwatembelea kwani wako katika kila wilaya na Jimbo.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Richard Wa Billy

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com