kwamamaza 7

Tetesi muhimu za soka leo- Ulaya

0

Wakati huu wa likizo ambapo wachezaji wasiokuwa kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho la Mabara inakuwa ni wakati timu nyingi zinapata fursa ya kujiaanda huku zikijaribu kuimarisha viungo vyake. Kwa hivyo, Bwiza.com imezunguuka magazeti mbali mbali na kukuletea tetesi muhimu.

(Independent), Arsenal imewaambia Barcelona kwamba beki wao Hector Berlin siyo wa kuuzwa na wakasema wana imani kiungo huyu atabakia Emirates.

Hata hivyo,(Marca) yatangaza kwamba Arsenal iko tayari kutoa dau la pauni milioni 30 kumchukua Ardan Turan kutoka Barcelona.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baada ya magazeti kuuzunguka usajili wa mchile Alex Sanchez kwa kumhusisha na uhamiaji kwenye Machester City, Chelsea na Bayern Munich sasa ni zamu ya Real Madrid ambapo kwa mjibu wa( Don Balon) timu hii inataka kumchukua kiungo huu kwa kuziba nafasi ya Cristiano Ronaldo iwapo ataondoka Real Madrid.

Hapa pia (Daily Record) imetangaza kwamba Manchester United watakuwa washindani pekee ,kwa mjibu wa washauri wake,kumchukua Ronaldo iwapo ataondoka Real Madrid .

Manchester United hawajakatisha juhudi zao za kumsajili mshambuliaji Romelu Lukaku kutoka Everton kwa mjibu wa (Mirror) lakini watalazimika kulipa kitita cha pauni milioni 90.

Huku (Daily Star) imetangaza kwamba Romelu Rukaku amefikia makubaliano na Chelsea ya mshahara wa pauni 150 kwa wiki.

(Mirror) pia watangaza kwamba Chelsea na Atletico Madrid wanaendelea na mazungumzo ya kumrejesha mshambuliaji Costa kwa dau la pauni milioni 50, lakini Atletico watamchukua kwa mkopo wakisubiri adhabu yao kukoma

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.