Home HABARI MPYA Tazama picha:Wabunge wakifuata kazi za bungeni mjini Kigali
HABARI MPYA - SIASA - November 1, 2017

Tazama picha:Wabunge wakifuata kazi za bungeni mjini Kigali

Hii ni picha iliyochukuliwa jana tarehe 31 Octoba 2017 wakati ambapo Tume ya kufuatilia matumizi ya mali ya umma(PAC) ikitia hadharani uchambuzi wa ripoti ya mkaguzi mkuu wa mali ya umma ya mwaka 2015-2016.

Wabunge hawa wote wakikubali yaliyomo ya ripoti hii isipokuwa mbunge Henriette Sebera Mukamurangwa aliyekosa jibu la swali lake la kutaka kujua mmliki wa nyumba ambayo bodi kuu ya elimu nchini (REB) hulipa kodi miliyoni frw 16 kila mwezi wakati ambapo kunatumiwa asilimia kumi zake tu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.