kwamamaza 7

Tazama Picha:Je,Serikali inafanya nini inapojua haya?

0

Hata kama mtu hafiki popote nchini,kuna mahali fulani anapofika na kujiuliza wanachokifanya viongozi kusiadia wakazi.

Hii ni nyumba ya Jean Hakorimana,mkazi wa kijiji cha Muyira,wilaya ya Nyanza.Alilima mala tatu shamba la kiongozi wa kijiji kwa kupata paa kisha akamnyima.

Familia 1, 000 ambazo hazimiliki vyooni wilaya ya Gicumbi.

Hii ni nyumba waishimo watu watano,tarafa ya Muyira,wilaya ya Nyanza walikubaliwa msaada wa paa miaka nenda rudi.

Hiki ni chooni cha mkazi wa kijiji cha Kigeme,tarafa ya Gasaka.

Nyumba ya familia ya Bavakure ya watu watatu kijijini Gakoma,kuna taarifa kwamba paa zake zilibiwa na kiongozi wa kijiji,Noel Nkundimana aliye gerezani siku hizi.

Chooni cha mkazi,tarafa ya Jenda wilaya ya Nyabihu karibu na barabara kubwa Kigali-Gisenyi.

Chooni cha soko la Nyacyonga,wilaya ya Gasabo,mjini Kigali.

Hawa ni wanafunzi wa shule la Kibihekane,tarafa ya Rambura wakipeleka mwenzao hospitalini wakati ambapo mkurugenzi wa shule anamiliki gari.

Esperance Uwirinze ni mzazi wa watoto wanne,mkazi wa kijiji cha Josi,tarafa ya Bwishyura wilaya ya Karongi,angali katika daraja la watu wenye uwezo.

Mchinjaji akichinja nguruwe katika tarafa ya Kinazi,wilaya ya Huye,hapa ni karibu na tarafa ambako ni msitu.

Huyu ni mzazi wa kijiji cha Remera,tarafa ya Gasaka ana watoto 5,hana mahali pa kulala baada ya nyumba yake kubomoka,viongozi walimshauri kulala atakapo.

Kutoa suluhisho la matatizo haya yote inabidi kufanya juu chini bega kwa bega kati ya serikali na wakazi na kufanya ufuatiliaji wa mikakati na miradi mbalimbali ili kupiga shabaha la maendeleo.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

@Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.