Home HABARI MPYA Tayari kitendo cha kuonyesha mipaka kati ya Rwanda na Uganda kimeanza
HABARI MPYA - March 2, 2017

Tayari kitendo cha kuonyesha mipaka kati ya Rwanda na Uganda kimeanza

Serikali ya Rwanda na Uganda wameanza kitendo cha kuonyesha mipaka kati nchi hizo kwenye kijiji cha Nyabubare, kiini cha Nyarwambu, kata ya Kaniga, wilaya Gicumbi.

Mfanya kazi katika wizara ya uhusiano na mataifa Rwanda anaye ongoza kundi linalo husika na kuonyesha mipaka Eugenia Ngoga alisema ya kuwa ni kitendo muhimu kwa ajili ya kutatua swala ambazo raia wakuta kwa sababu mipaka haitambulikane vema kama vile husema RBA.

Wakaaji wamoja wa kata ya Kaniga walisema ya kuwa tingitingi ya Kanyaruyonga yenye kuwa katika kata ya Nyarwambu kata ya Kaniga wilaya Gicumbi ndipo palipo mipaka ya nchi zote mbili.

Hapo kuna jambo lijulikanalo kwa jina “NO MAN’S LAND, ikimaanisha udongo bila mwenyeji, na tingitingi hio hutumiwa na pande zote mbili na siku nende ilileta tatizo kwa sababu mipaka haikuonekana vema.

Kipindi hicho kilianzia katika kata ya Kaniga na wataendela hadi mpaka wa gatuna na kuendela hata milima mirefu ya virunga.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.