Wanyarwanda wanaoishi nchini Tanzania wameahidi kuiunga mkono timu ya Rayon Sports kwenye mechi ambayo itasakamana na Young Africans nchini Tanzania kesho tarehe 16 Meyi 2018.

Kupitia ukuta wao wa Twitter, wameandika watakusanyika kwenye Uwanja wa Taifa ili kuunga mkono Rayon Sports.

Wameandika” Rayon Sports itafika Dar leo usiku.Mechi itatokea tarehe 16/5 saa moja usiku.Mkuje tuunge mkono timu hii”

Walichoandika Wanyarwanda wanaoishi Tanzania

Timu ya Rayon Sports imeondoka mjiniKigali kucheza na Young Afrikcans kwenye michuano ya CAF Confederations Cup katika kundi la D.

Timu ya Rayon Sports ingali kwenye nafasi ya tatu  na alama moja baada ya kutoka sare bila kwa bila  na Gor Mahia kwenye Amahoro Stadium Mjini Kigali.

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina