kwamamaza 7

Tanzania kuuza kwa mnada ng’ombe asili ya Rwanda na Uganda

0

Waziri wa mifugo na uvuvi wa Tanzania, Luhaga Mpina ametangaza kuwa nchi yake inatarajia kuuza kwa mnada ng’ombe 10,000 wa wafugaji asili ya Rwanda na Uganda.

Waziri Luhaga amelezea wabunge kuwa ng’ombe hawa watauzwa kama vile waliouzwa ng’ombe wa raia wa Kenya 1,325 jambo lililozusha mgogoro wa kisiasa.

Taarifa za The East African zinasema kwamba ng’ombe hawa wamekamtwa baada ya kuvuka barabara.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya malalamishi ya Tanzania kusema kwamba misitu inaharibiwa na wanyama kutoka nchi jirani,jambo linalotesa mazingira yake kama vile maji,barabara na mazingira ya kijani.

Waziri Luhaga mpina ameshtaki wafugaji kuingia nchini Tanzania bila vitambulisho kulingana na sheria.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya siku tano Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutangaza kuwa Tanzania siyo mahali pa kuchungia ng’ombe kwa raia wa Kenya.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.