Mchezaji wa timu ya Simba SC na mchezaji wa timu ya taifa ya Rwanda,Haruna Niyonzima amesharejea nchini Tanzania baada ya kutibiwa nchini Uhindi.

Ofisa  wa mawasiliano  wa klabu hii, Haji Manara ameambia vyomb vya habari kuwa  Haruna amerejea nchini baada ya kupata matibabu ya hali ya juu.

Haruna Niyonzima amesharejea,matibabu yake yalikuwa ni tiba ya hali ya juu.

Manara ameongeza kuwa  ana taarifa kwamba Haruna hakufanyiwa operesheni kwa mala nyingine.

“taarifa nilizo nazo hakufanyia tena operesheni “

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haruna Niyonzima alienda nchini Uhindi siku chache zilizopita kwa ajili ya matibabu ya kufanyiwa operesheni kwenye mguu.

Manara alitangaza kuwa Haruna alivunjika alipokuwa mchezaji wa mpinzani Yanga SC.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina