Home HABARI MPYA Tajiri Rujugiro atumia fedha nyingi kuipaka masizi serikali ya Rwanda nchini marekani
HABARI MPYA - SIASA - September 27, 2017

Tajiri Rujugiro atumia fedha nyingi kuipaka masizi serikali ya Rwanda nchini marekani

Kuna taarifa kwamba tajiri Ayabatwa Tribert Rujugiro kupitia mmoja wa viongozi wakuu wa RNC,Dkt.David Himbara alilipa frw miliyoni 400 ili kushawishi kampuni ya Podesta Group kumsaidia kuwezesha bunge la marekani kusikiliza migogoro kati yake na seriakli ya Rwanda.

Dkt.David Himbara

Kampuni hii ilimuwezesha Himbara na kundi lake kumkuta kiongozi wa kamati ya mambo ya nje ya marekani kwa Afrika,Chris Smith.

Chris Smith

Kwa mjibu wa taarifa za KTPress,Podesta group ilifanya video iliyokuwa ikitarajiwa kuonekana kwenye vituo vya televisheni viilizochaguliwa nchini marekani ambayo  Himbara na tajiri Rujugiro ni washiriki.

Shughuli za benki zinazonyesha fedha alizolipa Rujugiro

Kunatarajiwa kwamba Rujugiro Ayabatwa Tribert na Maj.Robert Higiro leo atahotubia kamati inayongozwa na Chris Smith ili kuipaka masizi serikali ya Rwanda baada ya kulipa $444,000.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Tajiri Rujugiro ameisha lipa frw miliyoni 400 kuanzia mwaka 2014.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.