kwamamaza 7

Swede: Raia wa Rwanda mwenye kushitakiwa mauaji ya Kimbari ametiwa mbaroni

0

Bwana mwenye asilia ya Rwanda, akiwa na vitambulisho vya kuwa yeye ni Raia wa Suede ametiwa mbaroni jana tarehe 25 Oktoba 2016 nchini Swede akishutumia kuhusika na mauaji ya kimbari nchini Rwanda munamo mwaka wa 1994 dhidi ya watusi.

Bwana huyu ambaye hakutajwa jina lake ana umri wa miaka 48, aliwasili nchi Swede mwaka wa 1998 na akapewa kibali kuwa raia wa Swede mwaka wa 2006.

[ad id=”72″]

Ofisi ya utangazaji habari ya Ufaransa AFP, kasema kwamba alikamatwa na polisi wa Swede ila hawakutoa jambo lolote kuhusu huyu muhutumiwa kufuatana na mauaji ya kimbari na alikamatwa akiwa kwake nyumbani, katika mji wa Stockholm.

Na haya ni baada ya kuwa katika nchi hii tena watu wawili pia ambao walihusika na mauaji ya kimbari nchini Rwanda, Stanislas Mbanenande pamoja na Berinkidi Claver na walihukumiwa kufungwa gela maisha yao yote.

 

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.