Swahili
HABARI

Swali kubwa kwa ajili ya watu ambao hukata ng’ombe

Uongozi wa jimbo la Mashariki unaomba viongozi wa ngazi zote katika jimbo hilo kupiganisha maovu yanayotendeka kwa kukata ng’ombe na kuiba mavuno shambani sehemu tofauti katika wilaya za jimbo la Mashariki.

[ad id=”72″]

Kiongozi wa jimbo la Mashariki, Kazaire Judith amesema kua kwa siku hizi ripoti zinazotolea ni kuwa kumetokea maovu ya kukata ng’ombe zilizo pewa wakaaji katika mpango wa “Girinka Munyarwanda” na kuziua. Aonyesha kua hio haisitahili, inahuzunikisha, sherti viongozi na wakaaji washirikiane kwa kuzuia maovu na kushika wahusika.

Gavana Kazaire asema “Girinka Munyarwanda” ni mpango mzuri ya kuondoa raia katika umasikini, wakifuga, wakinywa maziwa, kupata mboleo wakiendelea na afia nzuri.

Anaomba viongozi wa ngazi zote pamoja na wakaaji kujenga umoja na kupiganisha uharibifu wa kukata ng’ombe, pia kuzuia wale ambao huongoa mavuno mashambani na ugomvi mwingine, kuna pia mpango wa kutazama namna gani sehemu ambayo itajulikana maovu na uharibufu kulipa garama ipatayo yaliyoharibiwa.

Kwa mwisho wamesema kila mumoja awe jicho la kuchunguza mwenzake na kujua kama anahusika na uharibifu huo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com