kwamamaza 7

Sudani Kusini: Waziri amejitenga na serikali na kujiunga na wapinzani

0

Waziri wa huduma wa Sudani ya Kusini, Gabriel Duop Lam amejitenga na serikali ya rais Salva Kiir na kujiunga na wanao mpiganisha akimushtumu kuwa hafanyi lolote ili kutatuwa tatizo linalo kumba nchi.

Lam katika kibarua chake alisema ya kuwa ana huzuni mwingi kuwa rais Salva Kiir ameshindwa kurudisha amani na usalama katika nchi inayo sumbuliwa na vita. Aliendelea na kusema ya kuwa anaacha majukumu alio pewa ili aweze kujiunga na kundi linalo ongozwa na Dr Riek Machar mpinzani wa utawala wa Salva Kiir.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri wa mawasiliano Sudani Kusini, Micheal Makuei amehakikisha taarifa hio ya kuwa Lam ameacha huduma zake ila anasema ya kuwa hata Lam angelibadilisha mengi kwa kuwa naye alikuwa na majukumu makubwa.

Waziri Gabriel Duop Lam aliteuliwa kuwa waziri mwaka wa 2016 mwezi April, wakati wa kuunga serikali ya umoja baada ya mkataba ulio sainiwa mwaka wa 2015 kama vile husema sauti ya Marekani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.