kwamamaza 7

Sudani Kusini: Jeshi lashutumiwa mauaji ya Kimbari kama iliyofanyika Rwanda

0

[ad id=”72″]

Kundi la umoja wa mataifa linalo husika na haki za kibinadamu wameeleza kama mauaji ya kikabila yamekamata hatua nyingine Sudani Kusini na hufanywa na jeshi la taifa.

Yasmin Sooka ameiambia umoja wataifa kufanya haraka ili kuzuia mauaji ya kimbari kama ilivyotokea nchini Rwanda, na wakimbizi wakiendelea kuwa wengi mno na raia hufariki siku kwa siku,

Mwaka wa 1013 ndipo machafuko yalizuka Sudani kusini baada ya kuupata uhuru, na ripoti husema kwamba mauaji ya Kikabila yawakumba watu wengi katika sehemu tofauti ya nchi hio.

UNCHR yasema hao yote ijapo kua rais Salva Kiir akanusha na kukana kua jeshi lake hufanya mauaji ya kikabila, pia ripoti husema kwamba wengine huuawa kabla ya ubakaji na kunyimwa chakula hadi kufa.

Katika nchi ya Sudani Kusina kunapatika kabila 64, na kila kabila hua na mila yake pia lugha, ila makabila mawili ndio yanazua mchafuko huo na moja ni kabila la bandika la mutawala rais Kiir na kabila la wa Banuer wakiwa wengi nchi humo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.