kwamamaza 7

Sitaki kusikia kuhusu Diamond wala michepuko yake-Zari Hassan

0

Baada ya Tlale Zari maarufu kama Zari Hassan kumwaga muimbaji gwiji nchini Tanzania,Diamond Platinumz,mzazi huyu ameongeza kuwa hataki kusikia lolote kuhusu Diamond wala michepuko yake.

Zari akizungumza na wafuasi wake  ana kwa ana kwenye Instagram,amewakemea waliokuwa wakimuuliza alivyoachana na mpenzi wake Diamond.

Kwa kuongeza maneno makali machache,Zari ameonya hadhira kuwa ikiwa ni nafasi ya kuzungumza naye siyo ya kuuliza maswali kuhusu Diamond ama mtu mwingine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ikumbuke kwamba jana habari zilienea kwamba Zari anaonyesha dhalili za kuwa na mpenzi mwingine amabaye hakumtaja kwa majina ya kawaida kwani anamuita Mr.X

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.