kwamamaza 7

Sitaenda mbinguni nitakapokufa kabla kumkuta Rais Kagame-Bikizee wa miaka 70

0

Bikizee wa miaka 70 ambaye ni mkazi wa kijiji cha Nyabugogo,tarafa ya Muhima mjini Kigali,Marie Rose Nyirabahire  ametangaza kuwa anaamini kutoenda mbinguni iwapo atakufa kabla ya kumkuta Rais Kagame.

Nyirabahire amelezea City Radiyo kuwa anahitaki kumkuta Kagame kwa kuwa alifanya kazi iliyowashinda wengine ya kuunganisha Wanyarwanda.

Nyirabahire ameleza kuwa huenda kule Kibeho,kusini magharibi mwa nchi ili kuomba Mungu kutimiza hitaji hili  la kumkuta Rais Kagame maishani mwake kabla ya kufariki.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Naomba Bikra Maria anisaidie kumkuta Kagame,nilijaribu zamani lakini nikashindwa.Kuanzia  Kagame alipoingia nchini Rwanda niliona mengi ambayo sijayaona kwa mtu mwingine(…) amefafanua Nyirabahire.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Bikizee huyu amendelea kwa kusema kuwa Kagame ni jigina aliyewezesha kuangunasha Wanyarwanda baada ya mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Nyirabahire amemaliza hoja zake kwa kueleza kuwa aliona marais wengi wa Rwanda wakiwemo Gregoire Kayibanda na Juvenal Habyarimana na kuwa hajamuona mtu adili kama Kagame.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.