kwamamaza 7

Sipendi mambo yote yanayogawa watu-Muimbaji Mani Martin

0

Muimbaji  Mani Martin ametangaza kutopenda mambo yote yanayogawa watu kama vile dini

Akijibu kwa nini hana dini,Mani Martin amemjibu mtangazaji wa radio ya nchi kwamba hataki mambo ya kidini kwani watu huwaona kama wale ambao hawana dini sawa na lao.

“Sipendi dini,kwaida yangu sipendi mambo yanayogawa watu hadi mmoja anaposema  hawezi kuwa mkwe,siwezi kumpenda,siwezi kuzungmza naye kwa kuwa ni tofauti kwangu” amesema Mani Martin

“Dini,ukabila na rangi ya ngozi za binadamu  hugawa watu”ameongeza

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kinyume na hili huyu msaani alijulikana kuwa mfuasi wa dini ya Kipentekosti(ADEPR) kupitia nyimbo mbalimbali zilizotia for a ila alipadilisha mtindo na kuanza kuimba muziki wa Secular.

Mani Martin amehakikisha kuwa hana dini kwa sasa

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.