kwamamaza 7

Sikukuu ya maadhimisho ya miaka 20 ya ‘Unity Club’ [Mapicha]

0

Rais Kagame na mke wake Jeannette Kagame ni miongoni mwa viongozi walishiriki ,jana jioni katika sikukuu ya maadhimisho ya miaka 20 ya Unity Club, yaani muungano wa viongozi wa madarakani na viongozi wa zamani pamoja na wachumba wao.

Katika hotuba yake, kagame alisisitiza umuhimu wa umoja na kufanyia pamoja ili kufikia lengo ya kujenga nchi iliokabiliwa na mgawanyiko hadi mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mnamo mwaka 1994.

30485933010_2219e12369_z

[ad id=”72″]

30155290634_32fa02d361_z

“Husema umoja kwa sababu sisi kama nchi tumeishajua changamoto za mgawanyiko,…Tunapochaguwa kubishana kati yetu, ni njia nyofu ya kuwasaidia wanaofaidikishwa na sisi wenyewe kujiharibisha.” Kagame alisema.

30787093875_fbd940050d_z

[ad id=”72″]

30750357096_604cb814c3_z

Unity Club iliundwa mnamo mwaka wa 1996, ilikuwa miaka miwili baada ya mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi. Imekuwa chombo cha kukuza umoja na kutatua matatizo ya kijamii yangeweza kuzuia maendeleo.

Mapicha: Village urugwiro

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Theogene U @Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.