kwamamaza 7

Sikukuu ya kuzaliwa ya 59 ya rais paul Kagame

0

Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame ametimiza miaka 59 Jumapili leo, 23 Oktoba 2016.

Kagame alizaliwa tarehe 23 Oktoba, 1957 kijiji cha Nyarutovu kilichopo wilayani Tambwe katika mkoa wa Gitarama ya zamani na leo ni katika sehemu ya kusini mwa Rwanda; wilayani Ruhango.

Tangu alipofika madarakani mnamo mwaka wa 2000 aliboresha uchumi na usalama wa nchi na kuunga wananchi baada ya kuingiliwa na itikadi ya mgawanyiko iliowafikisha kwa mauaji ya kimbari mnamo 1994.

[ad id=”72″]

Rais Paul Kagame ni mume wa Jeannette Kagame na mzazi wa watoto wa nne, wavulana watatu na msichana mmoja.

Kagame alipanda madarakani mnamo 2000, alikuwa rais wa sita baada ya kupinduliwa kwa Paster Bizimungu aliyeongoza kwa muda mfupi baada ya kifo cha rais wa zamani Juvenal Habyarimana.

Theogene U @Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.