kwamamaza 7

Sijaona mwanaume na ujauzito-Rais Museveni

0

Rais Museveni amesema haoni sawa mtu ambaye anasema wanaume wanazidi wanawake, asema mtu huo huwa na shida kwa kuwa haja muona mwanaume akiwa mjamzito

Alisema hayo wakati wa kuhamasisha mkataba wa Kigali kwa ajili ya kuzingatia haki ya jinsia ya kike katika ngazi za usalama ulio fanyika Kampala tarehe 7 Mach 2017.

Mkataba huo ni katika mpango uliotiwa na jamii ya umoja wa mataifa, polisi na jeshi la Rwanda, kwa ajili ya kupiganisha utesaji unaofanyiwa wanawake na wasichana wanao kuwa katika ngazi za usalama barani Afrika.

Urais ya Uganda ilisema wakati rais Museveni alipo fungua mkutano, alisema sherti raia wafundishwe ubaya wa kuwatesa wajinsia ya kike kwa kuwa wale ambao wanafikilia ya kwamba wanaume wanazidi wanawake kimafikiri, hakili hata miumbile ya mwili hawaeliwi ukweli.

Eti “mafikara ya kuwa wanaume wanazidi wanawake ni uchafu, wanawake na wanaume si sawa, mara moja naona wanawake wanazidi wanaume, mfano sija wai kutembea nikiwa na mtoto tumboni mwangu”.

Katika mkutano palikuwepo kiongozi wa polisi ya Rwanda IGP Gasana Emmanuel, na wengine viongozi wa polisi na jeshi kutoka nchi 42 katika bara la Afrika.

Kwa niaba ya kupiganisha utesaji wa wanawake na wasichana, mwaka 2008 aliye kuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa UN, Ban Ki-Moon alianzisha mpango kimataifa uitwao UNiTE na ilitarajiwa kumaliza kazi mwaka wa 2015.

[xyz-ihs snippet=”google”]
Mwaka wa 2010,  mkutano kuhusu hayo ulifanyika Rwanda na ikamalizika, “mkataba wa Kigali”; walikubaliana ya kuwa mkutano ya hayo KICD itakuwa ikifanyika kila mwaka na hivi kumefanyika mikutano tano katika nchi tofauti.

Katika moja ya mikutano hio waliamua kujenga kikao cha kufuatilia mambo ya utesaji wa wanawake na wasichana katika ngazi za usalama, (AFSOCA-VAWG) kitakuwa na kikao Rwanda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.