kwamamaza 7

Shirika ”iteka” limepigwa marufuku Burundi

0

[ad id=”72″]

Ancher Nikoyagize kiongozo wa shirika hilo la kutetea haki za biandamu ITEKA amekimbia nchi yake akiogopea usalama wake na tayari limefutwa Burundi.

Taarifa husema kwamba shirika ITEKA huenda kinyume na yale yawapasavyo na kushirikiana na adui wa nchi hata kama lilikuwa shirika lenye mamlaka eti lilitoa ripoti ya uongo.

Inakuwa moja wa shilika zengine sita kubwa ambazo zilifutwa zenye zilimpinga sana rais Nkurunziza kugombea mhula wa tatu. Shrika ITEKA lina zaidi ya miaka 25 kwa kupigania haki za binadamu Burundi.

Bi. Claudette Kwizera mwenye hazina wa shirika alikamatwa mwaka wa 2016 mpaka sasa hakuna ajuaye habari zake. Na mashirika mengine yalifutwa mwaka mbele rais Nkurunziza kugombea urais.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.