kwamamaza 7

Shimo zenye maji katika kituo cha gari Nyabugogo ni aje?

0

Wakati unafika katika kituo cha gari Nyabugogo mvua ikikwisha utakuta watu wakilalamika wakikosa nafasi ya kukanyaga kwa sababu ya shimo zenye kuweka maji, na swali ni kuwa hawajui siku gani watatengeneza.

Wasafiri kwa miguu hunungunika hata wenye magari wakisema gari zao huharibika kupitia shimo hizo na wakati mwengine wenye kutembea na miguu hutupiwa maji machafu.

Uongozi wa kituo hicho RFTC wao husema kwamba kutengeneza na majukumu ya wilaya ya Nyarugenge. Kuna wakati uongozi wa kituo walikuwa wakitengeneza na kwa mwisho wanalipisha wilaya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wanaendelea na kusema kuwa mkataba wa kutengeneza upya kati ya uongozi wa kituo hicho pamoja na uongozi wa wilaya ya Nyarugenge hutengenezwa na wanaamini kuwa watakosoa mambo mengi.

Kwa kutamani kujua nini uongozi wa Nyarugenge wanafikilia, hawakushika simu, hata ujumbe hawakujibu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.