Home HABARI Sherti tuishi maisha tunayo yahitaji-Rais Kagame
HABARI - April 7, 2017

Sherti tuishi maisha tunayo yahitaji-Rais Kagame

Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame aliomba Wanyarwanda kutotembelea mafikara ya wengine wanaokana na kunyima usamini mauajai ya Kimabari dhidi ya Watusi ya 1994, hapo aliwaomba kuishi maisha yao bila kutegemea mafikiri ya wengine.

Ametangaza hayo leo tarehe 7 April 2017 wakati wa kuanzisha mpango wa ukumbusho wa mara ya 23 kwenye kumbukumbu la Gisozi wakati wa kukumbuka waliouawa wakati wa mauaji ya Kimbari, alikwakumbusha wanusra kuwa hawapo pekee yao, ila nchi yupo nyuma yao.

Katika mpango huo palikuwepo wanasiasa wengine tofauti pamoja na kiongozi wa Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat.

Eti ”Wanayrwanda tuna maisha tunaishi, hatuwezi kuendelea na mabishano ya bila sababu ».

Alisema hayo baada ya kuonyesha upande wa wale ambao hawapendi ushirikiano wa Wanyarwanda ila wakitafuta kinacho weza kuwachonganisha na kubaguana.

Alirudilia wale wanaobadilisha jina la mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi, alionyesha kuwa kuna wale ambao ita jinsi wapendavyo wakitafuta kuonyesha kwamba wanaleta mabadiliko na wengine hufanya wakitamani mabishano.

Eti « wengi hubadilisha wakisema ni upya na mengine wakiwa na lengo la kuleta jina isiyo na mafasiriyo ya mauaji ya Kimbari. Wamoja husema mauji ya Kimbari ya 1994, mauaji dhidi ya Watusi na Wahutu wamoja wamoja na mengine ».

Alionyesha kuwa hayo yote huwa na lengo la kutenganisha, ndio sababu Wanyarwanda wasijali na hayo na kutosamini jina la mauaji ya Kimbari ya Watusi kwa sababu walio uawa walifia jinsi walivyo umbwa.

Hapo alipata muda wa kukosoa mataifa waliyo ona mauaji yakifanyika Rwanda na wakawa kimya,   aliwashukuru watu kwa ngambo yao waliyo onyesha upande wao kwa kusaidia Wanyarwanda ambao walinyanyaswa vikali na wamoja wakapoteza maisha.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Alisema askari jeshi wa Senegal, Capt. Mbaye Diagne, alipoteza maisha na yeye ni mmoja wa wale ambao Rwanda hukumbuka kama shujaa.

Alirudilia nchi tofauti ulimwenguni, kwa upekee nchi za Afrika, waliyo onyesha kuwa karibu na Wanyarwanda na kukosoa mataifa hadi sasa ambao wanabadili historia wakiwa na lengo la ubaguzi kati ya Wanyarwanda.

Rais Kagame, alifariji walio patwa na matokeo ya mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi, akisema kuwa Wanyarwanda wote wanachangia historia, kwa hiyo wanaombwa kuzingatia yaliyo jengwa kwa ajili ya kujenga Rwanda.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

1 Comment

  1. Mungu amubariki Kwa ajasiri wake mukubwa na pia azidishe hekima yake na hali yake yakupenda inci yake Rwanda. Kweli kweli na Mupenda saana Kwa hali yake

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.