kwamamaza 7

Sheria ingewashtaki samaki kubwa kabla ya wengine kwa mambo husika na rushwa-Rais Kagame

0

Rais Paul Kagame ameweka wazi kwamba hata kama watu ni sawa mbele ya sheria,watu wenye vyeo vikubwa wangeshtakiwa kabla ya wengine kuhusu mambo ya rushwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame ameanzisha mwaka wa haki leo na kuwashukuru watumishi wote husika na kazi za haki nchini Rwanda kwa mchango wao kwa kugawanya rushwa na maovu mengine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia,rais Kagame ameongeza kwamba hawana budi kuongeza nguvu katika kazi na kuwakumbusha kwamba inabidi kutilia mkazo mambo ya kuheshimu haki za kibinadamu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Amesema”Mimi nikataka kupambana na rushwa naweza kuanzia kwenye viongozi wakuu (…)”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame amemaliza hotuba yake kwa kutoa shauri kwamba kupambana na rushwa kwa kuanzia kwenye viongozi wenye vyeo vidogo haitafua dafu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.