Swahili
HABARI MPYA

Serikali yafunguka utengenezaji wa barabara Kigali-Gatuna

 

Waziri makamu kwa Wizara ya Miundo Mbinu Jean de Dieu Uwihanganye ameeleza barabara  ya kimataifa ya Kigali- Gatuna itatengenezwa wakati wa siku sita baada ya kuha.

Waziri Uwihanganye amesema magari makubwa yataendelea kutumia mipaka mingine  ikiwemo Kagitumba na CYanika.

“ Tumewataka kutumia barabara za mipaka ya Kagitumba na Cyanika.Hili ni kinyume na kuwa kazi za ujenzi wa hii barabara zilikuwa bandia kwani mvua hii ilikuwa si ya kawaida wakati wa miaka 36”

“Mkakati wa punde si punde ni kutengeneza hii barabara kwa muda mfupi ili magari haya yaweze kupita” ameongeza.

Kwa upande mwingine,madereva wamesema tukio hili litasababisha hasara kubwa kwa kuwa barabara hii ndiyo yenye safari  fupi kufika mjini Kigali.

 

Barabara Kigali- Gatuna lilivyoharibika

“Itakuwa hasara ,isipokuwa uwepo wa faida nyingine huwezi kutumia Kagitumba au Cyanika  ukielekea mjini Kigali kwani ni mbali” Ametangazia Sauti ya Marekani

“Nikirudi nyuma nitalipa kodi  nchini Uganda kama mgeni,Rwanda na Uganda wangelitusaidia kurahisha hili jambo”mwingine ameongeza

Barabara ya Kigali-Gatuna inasaidia mno usafirishaji wa watu na bidhaa kati ya Rwanda na Uganda.

Takwimu kwa upande wa Rwanda zinaonyesha kwamba magari makubwa 180 yanavuka mpaka wa Gatuna kila siku.

Barabara hii iliaharibika wiki iliyopita kutokana na mvua nyingi ambayo serikali inasema haikunyesha  kiasi hiki nchini tangu mwaka 1981.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

1 Igitekerezo

Baptiste May 16, 2018 at 3:34 pm

Ooh my God, mungu atusaidie barabara hilo itengenezwe.mzae unajua wtu wengi tunatumia barabara gatuna.

Subiza

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com