kwamamaza 7

Serikali ya Uganda imeshangazwa na maamzi ya Rwanda na Kenya

0

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri wa ukulima wa Uganda, Vincent Bamulangaki Sempijja amesema kuwa Rwanda na Kenya walishitukia walipo amua kusimamisha kutofanya biashara ya kuku ne mengine kuhusiana kutoka nchi ya Uganda.

Rwanda na Kenya waliamua hayo wakati katika nchi jirani Uganda kulipatikana magonjwa ya mafua ya ndege.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri wa ukulima wa Uganda alisema kuwa Rwanda na Kenya walishitukia kuamua kusimamisha ufanyaji biashara ya kuku na mayai kutoka Uganda wakati serikali ya Uganda ilikua ilitafuta suluhisho kwa haraka kuhusu magonjwa hayo ya ndege kama vile husema Chimpreport.

Waziri Vincent Ssempijja eti “hakuna sababu ya kuyafanya mambo ya ajabu na kuamua kwa haraka, na tayari tumepata suluhisho ya magonjwa hayo, ndege ambazo zimegonjwa haziwezi kuruka ili ziweze ambukiza zengine “.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ameomba viongozi wa Rwanda na Kenya kutembelea Uganda ili kuona jinsi serikali ilitia nguvu nyingi kwa kuongoa magonjwa hayo ya mafua.

Hata kama maamzi ya Rwanda na Kenya yametiya hasara nchi ya Uganda ipatayo shilingi biliyoni 2, waziri huyu anatoa uito kwa Waganda kutumia kama ilivyo kawaida kuku na mayai.

Mpaka sasa magonjwa hayo ya mafua ya ndege katika nchi ya Uganda kiliwafikia ndege wa msituni 7, na ndege 5 wanaofugwa na kuku moja, ila uchunguzi ungali unafanywa kwa ajili ya ndege zingine.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.