Swahili
HABARI

Serikali ya Rwanda yafunguka kuhusu wakimbizi asili ya Congo waliofariki katika maandamano

Serikali ya Rwanda kupitia waziri wa mambo ya nje,Louise Mushikiwabo imeeleza kwamba  chanzo cha maandamano yaliyosababisha vifo vya wakimbizi 11 yalitokana na kuwa wakimbizi  walikuwa wakitaka uraia wa nchi zenye maendeleo.

Waziri Mushikiwabo kwenye mazungumzo na vyombo vya habari, ameeleza kwamba kila suala la wakimbizi huwa ni hatari na kuwa uhaba wa uwezo ulikuwa moja mwa vyanzo vya yaliyotokea.

“Suala hili lilisababishwa na kundi la wakimbizi ambao walikuwa walitaka kuenda ugenini ila gawanyiko la vyakula lilikuwa kipande cha hili ”

Waziri huyu ameongeza kwamba serikali ingali tayari kumsaidia yeyote anayetaka kurudi kwao.

“Tuko tayari kumsiadia yeyote anayetaka kurudi nyumbani”waziri Louise ameongeza

Hatimaye Waziri Louise Mushikiwabo amekumbusha kwamba Rwanda ilitaka kuwapatia uraia  hawa wakimbizi mnamo mwaka 2000 lakini wakakataa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,Wakimbizi 11 asili ya  Congo walifariki,20 wakajeruhiwa pamoja na maafisa wa polisi saba wakati wa maandamano.

Pengine,kitendo hiki kililaumiwa na shilika la kuhudhumia wakimbizi duniani(UNCHR).

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

 

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

 

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com