kwamamaza 7

“Serikali ya Rwanda itasisitiza ushirikiano ili kuboresha elimu”Waziri mkuu Murekezi

0

Waziri mkuu Anastase Murekezi,kwenye  mahafali ya leo  tarehe 25 Agosti 2017 ametangaza kwamba serikali ya Rwanda itasisitiza ushirikiano na wanaohusika ili ubora wa elimu ufike kwenye shule zote pia elimu iwe kiini kamili cha maendeleo ya nchi.

Waziri mkuu Anastase Murekezi akiwahotubia wanaohudhuria mahafali

Kwenye sherehe hii waziri mkuu ameleza wanaomaliza masomo yao kuwa waaminifu na kuendelea kutoa mchango wao katika maendeleo na kuashukuru  bidii zao na kuwajulisha kwamba hawana budi kuunda kazi zao binafsi kwa kuomba msaada wa BDF.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri Murekezi pia ameshukuru viongozi,walimu na wafanyakazi wengine wa chuo kikuu cha Rwanda kwa kufanya kazi yao kwa ukakamavu na kuwaomba kuongeza nguvu za kufundisha mambo ya ajira binafsi .

Waziri mkuu Anasta akimusalimuse Murekezi akimsalimu kiongozi mkuu makamu wa chuo kikuu cha Rwanda,Amb.Dr.Charles Muligande

 

Wanaomaliza masomo yao

Kwenye mahafali  hii kumetolewa stashahada kwa wanafunzi 8,254 za viwango mbali mbali zikiwemo Doctorate,Masters,Bachelors na DiplomaA1).

Wanaomaliza masomo yao wamehamasishwa kuwa waaminifu

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.