[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Mfalme Kigeli V Ndahindurwa alizikwa Mwima huko Nyanza tarehe 15 Januari 2017, waziri Uwacu Julienne asema kuwa serikali ya Rwanda yawapa pole waliobaki katika familia na kwa kuwa itabaki karibu nao.

Baada ya lituljia ya kumuombea mfamle Kigeli V Ndahindurwa, wenye walikua hapo walisema kuwa wanafurahia kua mwili wa marehemu mfalme kuletwa Rwanda.

Ezra Mpyisi aliye kuwa mshauri wake mfalme Kigeli wa V Ndahindurwa pia ni rafiki wa karibu wa familia kwa nene lake aliwashukuru wote walio shugulika ili mwili wa mfalme ufike Rwanda, pia akashukuru serikali ya Rwanda, pia akasema ushujaa wa mfalme.

kigeri

Kwa upande wa orodha ya wandugu wa mfalme, Mukabayojo Speciose dada yake na mfalme Kigeli V Ndahindurwa naye pia alishukuru serikali ya Rwanda, kwa upekee alimushukuru rais Paul Kagame.

Waziri Uwacu Julienne aliye simamiya serikali ya Rwanda, kwa neno fupi “ katika jina la serikali ya Rwanda, ninawatakia kuwa nguvu, mumemkosa mzazi pia ndugu tena rafiki, serikali ya Rwanda itaendelea kuwa karibu nanyi”.

Kwa maongezi na yote yaliyo semwa mahali hapo hakuna aliye tajya kua atakuwa mwakilishi wa mfalme Kigeli V Ndahindurwa.

Mfalme Kigeli V Ndahindurwa alitawala Rwanda tangu mwaka wa 1959 mpaka 1961, alifariki tarehe 16 Oktoba 2016, alizikwa Mwima pembeni ya kaburi ya mfalme Mutara III Rudahigwa. Wakati wa mazishi palikuwepo watu zaidi ya elfu mbili.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.