kwamamaza 7

Serikali ya Rwanda inakwenda kujenga vyumba 10.000 vya shule

0

Wizara ya elimu imahakikisha ya kuwa wanakwenda kubomoa vyumba vya shule 10.000 na kujengwa upya.

Siku nenda ilisemekana vyumba vya shule ambavyo vilikuwa vimeharibika na kuzeheka na vingine kujengwa mahali pabaya na suluhisho imepatika katika kikao cha viongozi wakuu wa nchi huko Gabiro.

Waziri wa elimu, Dr Musafiri Papias Malimba, katika maongezi na mwanhabari wa RBA alisema ya kuwa ni moja ya mpango wa kuongeza usamini wa elimu.

Wizara ya elimu ilikuwa na mpango wa kuongeza hesabu ya wanashule wa sana hadi 60% na elimu ya ujumla ikiwa  40%  mwaka huu wa 2017, akisema ya kuwa lengo hufikiwa kwa kuwa wanaojifunza sana hufika 50%.

Walezi wanafurahia jinsi wanafundisha wakiwa katika vyumba vizuri tena safi, wakiwa na umeme na wanatumia teknolojia, namna walivyo pata nafasi ya kuishi karibu na shule.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.