Swahili
HABARI MPYA

Serikali ya Rwanda imehamasisha kusimamisha kupigwa na kukatwa kwa waamini wa kanisa ADEPR

Waziri mkuu, Anastase Murekezi, amewaambiya viongozi na waamini wa kanisa la kipantekote ADEPR, kuwa serikali imehamasisha kusimamisha ugomvi unaofanyiwa waamini wa kanisa kwa kupigwa na kukatwa kwa upanda wakiwa ndani ya kanisa na watu ambao hawajajulikana.

Wakati wa kufungua hotel ya kanisa hilo Dove Hotel,waziri mkuu alisema kuwa inasikitisha kukaza mtu haki zake za kuomba hata kukutanwa kanisani na kufanyiwa ugomvi na uharibifu, eti “serikali inakwenda kusimamisha haraka sana ugomvi huo ili muwe na usalama na muendelee na matenda ya maendeleo kama zahanati na kuwasaidia maskini kama vile desturi yenu”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya siku 6 taarifa ikisema kuwa watu 6 wa kanisa la ADEPR, kijiji Ngoma katika wilaya ya Huye, walikuwa wakitoka kanisani tarehe 27 Januari 2017, wakakutana watu wenye silaha za kiasili wakawapiga wengine wakapelekwa hospitalini, baada ya hapo tena siku 6 kiisha waliwakutana kanisani wakiomba wakakatwa kwa upanga wamoja wakapelekwa katika hospitali ya Butare CHUB.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Msemaji wa polisi  jimbo la Kusini, CIP Hakizimana André,  amesema kuwa tayari polisi imewakamata watu 9 wakitekelezwa kuhusika na maovu hayo, na wapo kwenye stesheni ya Ngoma wakijibu maswali tofauti.

CIP Hakizimana André amesema ni uharibifu, tena hauwezi kulinganisha ya mwanzo na iliyo fuata, ila upelelezi huendelea kwa ajili ya wale walio kamatwa ili kujua ni nini chanzo cha maovu hayo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com