kwamamaza 7

Serikali ya India imekubalia Rwanda kuanza huduma za safari za ndege

0

Mkutano wa mawaziri India umekubali mkataba ulio tiwa saini kati ya serikali ya Rwanda na ya India ya kukubali ndege za pande zote mbili kuanza huduma za usafirisaji wa ndege kati nchi hizo.

Kampuni ya ndege ijulikanayo kwa jina la RwandAir imesema ya kwamba itaanza huduma hio tangu mwezi April wakielekea Mumbai India mara inne kwa wiki moja.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ukarasa india.com husema ya kuwa mkutano huo wa mawaziri ulifanyika tarehe 15 Februari 2017 ukiongozwa na waziri mkuu Narendra Modi, amekubali mkataba kama vile imetangazwa na maamzi ya mawaziri.

Rwanda na India watapanua ubiashara kati yao, utali na kuchangia iliyo mila ya nchi kupitia safari za ndege.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.