kwamamaza 7

Serikali ya Burundi wamekataa maongezi na wapinzani

0

Serikali ya Burundi inasema ya kuwa hawakutuma watakao wasimamia kwenye maongezi ya kuunga warundi ambao yaritarajiwa kuanza leo tarehe 16 Februari 2017.

Taarifa iliyo tolewa na msemaji tena katibu wa serikali Philippe Nzobonariba, hawakufurahia walio alikwa katika maongezi na namna maongezi yalitayarishwa na yatakayo zungumziwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Msemaji anasema ya kuwa katika waalikwa, kuna wenye walio andaa migogoro ya 2015, mambo ambayo yanaweza zua mabishano katika maongezi kama vile husema Ubmnews .

Philippe Nzobonariba ametangaza ya kua mpatanishi Benjamin Mkapa alialika kinyume na sheria la Burundi kwa sababu alialika wanao tafutishwa na serikali ya Burundi.

Kwa kumalizia, Nzobonariba amesema ya kuwa serikali ya Burundi inashukuru maongezi na hatua ambayo yamefikia, ila anaomba maongezi yafanyike Burundi apana nje ya Burundi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.