kwamamaza 7

Serikali katika mpango wa kupunguza bei ya umeme

0

Wizara ya miundombinu imetangaza kwamba tangu mwaka ujao kutakuwa na kupunguzika kwa pesa ambazo hulipiwa kwa kununua umeme. Tukio hili ni kulingana na miradi tofauti ya serikali ya kukuza viwanda vya umeme mithili ya mradi wa kuongeza umeme wilayani Gisagara.

Waziri wa miundombinu, James Musoni alisema jana 22 Novemba 2016 kwamba, wakati wa kutia saini kwa mkataba na mwekezaji wa mali atakayejenga kiwanda cha umeme mkoani kusini; kiwanda ambacho hutarajiwa kutoa Megawatt 80.

Kuna mpango wa kuongeza Megawatt hizi kwa kiwango cha 199 ili kuwanufaisha raia kwa matumizi ya umeme.

[ad id=”72″]

Kuhusu upunguzaji wa bei ya umeme, waziri Musoni alisema; “Kuna mpango kwamba kuwanzia mwezi Januari 2017 tutakuwa na bei ndogo ya umeme kulingana na leo. Si lazima kusubiri kiwanda hiki kukamilishwa kwani kuna miradi mingine itakayokuwa tayari wakati huo.”

Kiwanda hiki cha umeme kitaridhishwa na pesa zaidi ya milioni 350 za dola ya Marekani, aliyokusanywa kutoka benki tofauti mithili ya benki ya kukuza maendeleo nchini Rwanda (BRD) na pesa za mwenyewe mwekezaji wa mali kwa kiwanda hicho.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter 

Theogene U @Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.