Swahili
HABARI MPYA

Serikali itawatiya mahakamani viongozi wanaoiweka hasara

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri wa sheria, Johnson Busingye, amewaambia mabunge kuwa serikali itakuwa ikiwaitisha viongozi walio amua kutia serikali  katika tatizo ya mahakama na kupoteza mali ya serikali.

Kuhusu wale ambao wanashitaki serikali na inashindwa, Busingye amesema kuwa wapo na mpango wa kuzuia tatizo hilo na kuwafuatilia watumishi na kuwaomba ripoti ambazo hutolewa na mahakama, na ndio ilikuwa chanzo cha kushindwa mahakamani. Watakuwa wakiwafuata wale ambao wanaacha serikali kwenda mahakamani, ni wenyewe ndio waazibiwe kwa ajili ya hasara walio tia uongozi wa serikali.

Waziri Busingye amefafanua kuwa hasara ambayo serikari hupata kutokana na mashataki, mahakama tayari itaanza kufuatilia yule ambaye alikua chanzo cha hasara hiyo bila kupitia njia nyingine. Na muhusika kwa hasara ama uporaji ndiye atakaye lipa.

Wizara ya kazi pia naye amefafanua kuwa wafanyakazi wote wanao fukuzwa kazini kutiwa kwenye orodha ili wasipate tena kazi katika serikali, na wale ambao watafanya mitihani ya kutapa kazi hata kama wanafanikiwa na ushindi wasipate tena kazi, ila wanaweza pata kazi katika ngazi nyingine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com