Swahili
HABARI MPYA

Serikali hupongeza mabadiliko kwa kutoa ajira

Waziri mkuu wa Rwanda Anastase Murekezi alisema kwamba mabadiliko muhimu yaliyofanywa wakati wa kutoa ajira katika shirika za serikali, yalipunguza malalamiko ya washindani na kufadhiliwa kulipatikana wakati wa mitihani ya kazikatika shirika za serikali.

Mwito umetolewa Ijuma, 2 Disemba 2016; wakati Murekezi alikuwa anawasilisha wabunge kuhusu shirika la uongozi wa wafanyakazi wa serikali.

Miongoni mwa mabadiliko ya kuboresha utoaji wa kazi, kuna kuhifadhi sauti na video za mitihani pamoja na mitihani ya kuandika ili kuepukana na udanganyifu wakati wa kupewa kazi.

[ad id=”72″]

Waziri mkuu alisema, “kurekodi sauti na video katika mitihani ya kazi, kulisababisha mabadiliko na fikra za wanyarwanda wakati wa mitihani ya kutafuta wafanyakazi wa  serikali. Siku hizi ni kuhusiana na ujuzi pamoja na uwezo wa mshindani tu.”

Wakati mshindani hakufurahia matokeo ya mtihani, huruhusiwa kukata rufaa katika tume ya kuwachungelea watumishi katika shirika za serikali; na sauti na video zilizohifadhiwa wakati wa mtihani hutumiwa kwa kutatua kesi.

Utafiti huonyesha kwamba walioridhishwa na huduma ya kutoa kazi sasa hivi wanakuwa 70.9%, badala ya kiwango cha 67% mnamo mwaka wa 2012-2013. Lengo ya serikali ni kuwaridhisha wanaofanya mitihani ya kazi za serikali kwa kiwango cha 80% mnamo mwaka wa 2017-2018.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Theogene U @Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com