Swahili
Home » Serikali haikuridhishwa na msamaha wa kanisa ya katoliki kwa ushiriki katika mauaji ya kibari
HABARI MPYA

Serikali haikuridhishwa na msamaha wa kanisa ya katoliki kwa ushiriki katika mauaji ya kibari

Waziri wa utawala wa mitaa, Francis Kaboneka

Serikali ya Rwanda imesema kwamba kanisa katoliki imeomba msamaha kuhusu washiriki wa kanisa hilo kwa ujumla waliojiingiza katika mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi yaliyofanyika mnamo mwaka wa 1994.

Kwa ujumbe wa kumaliza mwaka wa Rehema za Mungu, kanisa katoliki iliomba msamaha kwa ajili ya washiriki wake ambao walihusika na mauaji ya kimbari mnamo mwaka wa 1994, na barua ilitiwa muhuri na maaskofi 9 wa Rwanda, na barua hio ilibidi kusomwa katika ibada ya tarehe 20 Novemba mwaka huu wa 2016.

“Hata kama kanisa halikuwatuma watu kuyafanya mabaya, sisi kama maaskofu, kwa ngambo ya ubinafsi, tunaomba tena msamaha kwa yale mabaya yaliyofanyiwa watutsi, pia miongoni katika washiriki hata mapadri”.

[ad id=”72″]

katika tangazo la wizara inayehusika na utawala wa mitaa wamesema kwamba hii ni hatua nzuri ya kukiri na kutubu, ila kanisa katoliki haikuonyesha wazi namna gani ushiriki ulitendeka na msimamo wao.

Kinacho huzunikisha ni kwamba mapadri ambao hawakulisoma tangazo hilo kanisani ambalo lilitiwa muhuri na maaskofu wao, na huonyesha kinyume na huko kukiri na kutubu, hata kama waliomba msamaha hawakuonyesha hata majina ya wale waliohusika na mauaji ya kimbari.

Baada ya kuomba msamaha kwa niaba ya washirika, shirika la IBUKA, imetoa taarifa na kusema kwamba inajiandaa kuyafanya maongezi na kanisa katolika kwa ajili ya malipo kwa wale waliyookolewa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter 

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com