kwamamaza 7

Seneti wa Centrafrica wameasiliana na Wanyarwanda wa MONUSCA kwa kukumbuka mara ya 23

0

Kiongozi wa seneti ya Centrafrica, Kalim Mekasou alisema hatua Rwanda imefikia kwa kuunganisha Wanyarwanda baada ya mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi huonyesha hali nzuri ya kujenga Afrika yenye usalama.

Alisema hayo akiwa katika mji mkuu Bangui akiwasiliana na Wanyarwanda wenye kuwa katika utumwa wa amani wa Umoja wa Mataifa Centrafrica (MINUSCA) katika tendo la kukumbuka mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi yaliyofanyika mwaka 1994 kwa mara ya 23.

Eti:”Yaliyo tendeka Rwanda hayawezi kuwa nafasi nyingine duniani. Leo Afrika nzima huwasiliana na Rwanda kwa kuwakumbuka waliyo uawa katika mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi”.

Kaongeza eti “Muda huu hutukumbusha jinsi umoja wa mataifa haukujali Rwanda tena nashukuru rais Paul Kagame kwa nguvu aliyo tumia kwa kuunganisha Wanyarwanda, kujenga upya nchi na kupatanisha watu mahali pote”.

Katika tendo hilo waliwasha mwangaza wa matumaini kwa niaba ya kukumbuka waliyo uawa katika mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi na kupokea ushuhuda kutoka wanusra. Walikuwepo watu 1300, askari polisi na askari jeshi pamoja na wahusika na wafungwa wa Rwanda wote wakifanya kazi katika MINUSCA pamoja na marafiki wa Rwanda.

Katika tendo hilo, kiongozi wa polisi ya Rwanda wenye kuwa utumwani Assistant Commissioner of Police(ACP) Balthelemy Rugwizangoga alisema kwa urefu historia ya mauaji ya Kimbari, jinsi ilivyo andaliwa, jinsi ilitendeka, jinsi ilishimamishwa na matukio yake.

ACP Rugwizangoga eti:”Siki 100 peke yake, zaidi miliyoni ya watu waliuawa dunia ikitazama. Jeshi la Rwanda Patriotic Army ndio kakomesha. Leo Rwanda huwa na uajibu wa maiasha mema ya raia”.

Kiongozi wa Polisi katika MINUSCA, Gen.Roland Zamora alisema kwamba alifika Rwanda baada ya mauaji ya Kimbari na anasikia hali ya uharibifu uliofanywa.

Eti:”Nilicho kiona Rwanda ilinyanyaswa, hakuna nchi ambao husitahili kuwa na maoavu kama hayo. Tunashukuru aliye husika na kukomesha mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi. Leo Rwanda ni nchi ya kielekeo cha maendeleo kamili.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.