Muimbaji Safi Niyibikora maarufu kama Safi Madiba jana ameongea kuhusu fununu zilizozagaa kwamba mke wake Judith Niyonizera ni mja mzito.

Safi Madiba amehakikishia Rediyo moja nchini Rwanda kwamba mke wake si mja mzito kwa sasa.

“Eeeh,siwezi  kuongea kuhusu hili kwenye Rediyo,ni vizuri familia kuongezeka”.

“Ninaongea mala nyingi na mzazi wangu,sina shinikizo lolote kwani anajua yoyote yanayoendelea” ameongeza

Huyu muimbaji ameongeza kwa sasa hajafunga goli na kuwa hana haraka haraka yoyote kwa kuwa mzazi wake ana wajukuu wa kutosha.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Safi Madida alifunga ndoa na mke wake mwezi Julai 2017.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.