kwamamaza 7

Safari za siri za Kayumba Nyamwasa nchini Uganda zaibuka,anadhamiria nini?

0

Taarifa za vyombo vya habari nchini Uganda hasa Chimpreports na Spyreports zinasema kuwa  Kayumba Faustin Nyamwasa,mpinzani mkubwa wa serikali ya Rwanda anafanyia safari zake kisiri nchini Uganda.

Taarifa hizi zinaendelea kwa kusema kuwa huyu aliyewahi kuwa mwanajeshi wa Uganda mwaka 1990 na kuwa ni rafiki wa dhati wa Rais Museveni na waziri wa usalama Gen (Rtd) Henry Tumukunde wanayeongea kupitia simu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa za Spyreports alhamisi ya wiki hii imetangaza kuwa Kayumba Nyamwasa anakaribishwa kwa shangwe na hoihoi mjini Kampala na kupatiwa mahitaji yote na jeshi la Uganda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya mafisa za upelelezi wa Rwanda wametangaza kuwa ushirikiano huu unaleta wasiwasi mno.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kayumba Nyamwasa alikuwa kiongozi  wa wanajeshi wa Rwanda na mkuu wa upelelezi,alihukumiwa na mahakama ya kijeshi nchini Rwanda kufungwa jela  miaka 24 na kufuta vyeo vyake juu ya kuwa na hatia ya kuharibu usalama wa nchi,uchochezi na kukwepa kazi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.