Home HABARI MPYA Sababu za Wanyarwanda kudumu zaidi ya Wakenya zaibuka
HABARI MPYA - September 24, 2018

Sababu za Wanyarwanda kudumu zaidi ya Wakenya zaibuka

Watalaamu wa mambo ya jamii wamegundua kwamba Wanyarwanda wanadumu zaidi ya raia wa Kenya, Uganda na Tanzania.

Hawa watalaamu walitangaza wiki iliyopita mjini Nairobi kwamba muda wa kuishi kwa Wanyarwanda ni miaka 65 wakati ambapo Kenya ni 63, Uganda (62) na Tanzaniya(62).

Ripoti ya Tume ya Lancet inasema hili linasababishwa na nchi  ambazo zina mikakati yenye nguvu  kujilinda majanga.

Pia inaonyesha 2/3 za raia wa Rwanda mwaka 2030 watakuwa na vyooni safi, wakiwa na uwezo wa kusafisha  vidole unapolinganisha na raia wa Kenya 1/3.

Hata kama Rwanda ina daktari mmoja kwa watu 20,000 watoto wanachanjiwa  kinyume na Kenya ambako 1/3 za watoto nchini humo hawapati hii huduma.

Kwa mujibu wa taarifa The Standard, hii ripoti inasema  kunabaki mambo machache ili  Wanafrika waishi kama watu wa bara nyingine duniani.

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.