kwamamaza 7

Sababu kamili zilizomfanya Paul Kagame kutokuwa rais baada ya kuyikomboa nchi

0

Rais Paul Kagame ameleza sababu kamili zilizomfanya kutokuwa rais baada ya kukomboa Rwanda

Akizungumza na The financial Times,rais Kagame ametia wazi kwamba wengi wakiwemo Faustin Twagiramungu(Waziri mkuu kulingana na makubaliano ya Arusha) walikuwa wakitarajia kwamba atakuwa rais lakini  yeye akakana.

Rais Paul Kagame amendelea kusema kuwa alitoa sababu mbali mbali za uamuzi wake zikiwemo kuwa karibu na wanajeshi wenzake ili kuwa tayari kulinda usalama wakati ambapo mashambulizi yamezuka tena,amesema”Sikutaka kuwa rais, waziri mkuu makamu ama waziri makamu  wa majeshi ,niliamua kuwa kiongozi makamu wa majeshi”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine,ameleza kuwa haikuwezekana kuwa rais kwa kuwa kulikuweko maadui karibu na mipaka ya Rwanda wakijianda kushambulia nchi na kuwa ilibidi mtu aliyekuwa anajua mengi kuhusu nchi na kuwa wakati huo yeye alikuwa hajajitayarisha bado.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame ameongeza kuwa iliwabidi kuanza kupambana na changamoto za madai ya wale ambao walikuwa wakiwaona kama watu wa ugenini.

Rais Paul Kagame ametangaza haya baada ya kuongoza Rwanda miaka 14 na kuchaguliwa mamlaka mpya itakayomalizika mwaka 2024.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.