kwamamaza 7

Rwanda:Waziri Mkuu awanyoshea kidole viongozi waongo

0

Waziri Mkuu Dk.Edouard Ngirente ametangaza kuna viongozi wa wilaya ambao wanadanganya kuwa wanatekeleza mengi kwa wakazi kinyume.

Waziri Mkuu bila kutaja majina jana amemuambia  Rais Kagame kuna wanaodanya kwa kupata alama nyingi za utekelezaji wa mkataba wa utendaji mwaka huu.

“ Kuna yaliyotekelezwa nusu na yale ambayo hayakutekelezwa” ameeleza Waziri Mkuu

Waziri Mkuu ameongeza kuna viongozi ambao hawakuandaa vilivyo mkataba wao.

Kwa sasa, wilaya ya Rwamagana,mashariki na Huye,kusini mwa nchi ndio waliojitokeza kwenye nafasi ya kwanza na ya mwisho.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.