kwamamaza 7

 Rwanda:Waziri mkuu afuta kazi mkurugenzi wa bodi ya kilimo na ufugaji

0

Waziri mkuu,Dk.Edouard Ngirente amemfuta kazi Dk.Daphrosa Gahakwa aliyekuwa Mkurugenzi makamu wa bodi ya kilimo na ufugaji,RAB  pamoja na mafisa wenzake  wawili wa bodi hii.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa hizi zimehakikishwa na Afisa kwa wajibu wa mawasiliano kwenye wizara ya kilimo na ufugaji,Ange Soubirous Utambineza kuwa mafisa wengine ambao wamefutwa kazi ni afisa kwa wajibu wa mambo ya umwagikiaji, Innocent Nzeyimana na mwingine kwa wajibu wa mali,Theogene Bimenya na Violet Nyirasangwa,afisa wa muungano wa taasisi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Juu ya haya kuna taarifa za kuwa mkurugenzi wa RAB aliitka bungeni juu ya matumizi ya mali ya umma na kueleza kuwa amemkosa na kuongeza kuwa hajui alikoelekea mkurugenzi wake yaani Dk.Daphrose Gahakwa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.